HATIMAE MAJIZO NA LULU WAFUNGA NDOA.

Ukurasa wa akaunti ya instagram ya kituo chake EFM  kimethibitisha ndoa ya mmiliki wa kituo cha Radio Tanzania EFM Fransic Siza maarufu kama Majizo na mwigizaji maarufu Elizabeth Michael maarufu Lulu.